Muda huu yuko mjengoni kuja kutupa uzoefu wake wa kusakata kabumbu tunapoelekea kucheza na tembo kesho! Hii ni amsha amsha! Gerald na Mbwiii wanatishaje mjengoni? Sikiliza 88.5 CLOUDS FM SUPER BRAND
Alipofika mjengoni alipokelewa na Phillip Mwihava, producer wa POWER BREAKFAST ambae pia ni host wa POWERBREAKFAST ON SATOO,LAKINI WANAONEKANA KAMA MAPACHA?!
jina tekelo walimwita abedi mziba tekelo kwasababu kua alikua akifunga magoli muhimu mno na hasa katika kipindi cha kwanza, na akianza tu basi timu pinzani hawarudishi, ndo wakaanza kumwita jina hilo hata leo! upo?
siri
hapo kuna vitu viwili kwa wafungaji lazima bahati uwe nayo ingawa unaweza kua kwenye wakati mgumu na kitita cha watu mpira unakuangukia wewe na unafunga!! la pili umahiri nao unachangia ikiwemo ujasiri, kuna sehemu una risk lakini unafunga!
huo ndo uchawi wa abedi mziba.
No comments:
Post a Comment