Vincent Autin (40), na partner wake mwenye umri wa miaka 30-, aitwaye Bruno Boileau
baada ya kufunga ndoa, kiapo kuliwa,pete zikavaliwa basi kifuatacho ni kiss kwa bi harusi! du!
baada ya kiss ni look of love! ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firaoun, wakati wanawake wapo tele ambao wanatafuta waume, ninyi mwaoana wenyewe? au kuna ziada? ambayo?
No comments:
Post a Comment