Mkuu wa mkoa Rukwa Eng. Stalla Manyanya kushoto
akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija omar Kopa
alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa
Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf
aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua
akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa
Namanyere
Mkoani Rukwa .
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda
wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania
Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya kupewa taarifa ya
kufiwa na mumewe Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leo alfajiri kutokana na
ugonjwa, Bi Khadija Kopa alikua akitokea kwenye Maadhimnisho ya siku ya
Mazingira Duniani kitaifa yaliyoadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa .
No comments:
Post a Comment