Tuesday, June 25, 2013

MECHI KATI YA WABUNGE NA WAKUU WA WILAYA


                                                                 Uzalendo kwanza




Mechi ya hisani kati ya wabunge na wakuu wa wilaya yenye lengo la kukusanya pesa inatarajiwa  kufanyika June 29 mwaka huu katika uwanja wa Taifa jijini DSM

Kufika kwako wewe ni mchango mkubwa kwa kiasi kidogo utakacholipia mlangoni  na hatimaye kufanikisha ujenzi wa kituo cha watu wenye ulemavu  wa ngozi  mkoani ARUSHA


No comments:

Post a Comment