Lori
moja la kubebea bidhaa ya mafuta ya vyombo vya moto likiwa limeanguka eneo la
Kongowe, Kibaha kama lilivyokutwa na mpiga picha jioni ya leo. Wananchi
wanaonekana na vyombo vya kubebea, wamelizungukaa kana kwamba hawajali hatari
inayoweza kutokea kama zilivyotokea nyingine siku zilizopita. (picha kutoka
mdau wa wavuti.com via whatsapp)
No comments:
Post a Comment