Hongera sana Shamim blogger wa www.8020fashions.blogspot.com kwa kufunga ndoa.Sasa ni Mr. & Mrs.Abdul Nsembo.Mungu awatangulie katika maisha yenu yote ya ndoa.
Kwa pamoja bwana na bibi Abdul Nsemo wakionesha wadau pete zao za ndoa! maashallah bi harusi alitisha.
Mwanamke deko bibi! ulipendezaje? kipande hicho cha make up i salute you Zeze, ila na walokunadhifisha nao pongezi zao.
watoto ni baraka! tazama watoto hao walivyoteka hisia za bibi na bwana Nsemo! hadi matron! chezea malaika weye? kila lakheri Shamim na Bwa shemeji Abdul Nsemo!
No comments:
Post a Comment