Hivi ndivyo ilivyokua
Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha 2-1 toka kwa
Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia 2014
huko Brazil. Mchezo huo ulifanyika huko Morocco. Kwa matokeo haya Taifa Stars
ina kibarua kigumu cha kuhakikisha inafuzu kucheza fainali hizo.Katika Mchezo unaofuata Tanzania itacheza na Ivory Coast hapa Tanzania tarehe 16 Juni 2013 na tarehe 06 Sept 2013 itamaliza michezo yake kwa kucheza na Gambia huko Gambia.
Hadi sasa msimamo wa kundi C upo hivi:-
No comments:
Post a Comment