Kila mshiriki aliyeingia mjengoni aliingia kwa nia moja
tu,kushindana na mwishon wa siku yeye ndiye achukue kitita cha milion 300 za
kitanzania,lakini habari gani pale unapokwama kutimiza nia yako?mbaya kuwa wa
kwanza kabisa kutoka..so sad right??bila shaka feelings hizo ndizo walizonazo
washiriki Huddah wa Kenya na Denzel wa Uganda baada ya kuwa washiriki wa kwanza
kutolewa mjengoni wakiwa na week moja tu
Kwa upande wa Kenya ,mshiriki aliebaki ni Annabel na Uganda
ni LK4,Wahiriki walioingia kikaangoni ni Betty wa Ethiopia na Selly wa Ghana
mchaka mchaka ndiyo umeanza sasa na ni vigumu kutabiri
chochote kwa washiriki wanaotuwakilisha watanzania,Feza Kessy na Nando kwani
ndiyo kikubwa ni kuwaombea na kupiga kura kwa kadri tuwezavyo ili kuwafanya
waendelee kubaki mjengoni na mwisho wa siku heshima yetu iliyuoanza kupotea on
BBA irudi
Mungu ibariki Tanzania,bariki Feza na Nando.
No comments:
Post a Comment