Wednesday, June 26, 2013

MJENGONI LEO




Afisa uhusiano wa Clouds Media Group Simon Simalenga akihakiki mawasiliano kua mh Membe atafika kama ilivyopangwa


Afisa uhusiano wa Clouds Media Group Simon Simalenga. akimkaribisha mh waziri wa mambo  ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe, asubuhii hii hapa mjengoni.
Waungwana huamkuana! na hii ni mara baada ya mh Membe kutua mjengoni
Simon Simalenga akiongoza msafara kuingia mjengoni
Mheshimiwa Bernard Membe akiwa katika moja ya ofisi za Clouds Media Group akijiaandaa, kabla ya kwenda hewani, umegundua nini kwenye picha hii?
Mheshimiwa Bernad Membe na msadizi wake Thobia wakinipa smile wakati nkiwapiga picha.
Kegajo nayo ilipata bahati kushikana mkono na mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe asubuhi hii mjengoni
Meno yote nje! mwenzangu!? nimepata fursa ya kua karibu na picha ya pamoja na mheshimiwa waziri.
Mheshimiwa Membe ikumbukwe kwamba amekuja mjengoni na special kwa POWERBREAKFAST BRAND kuzungumzia:-
i) Ujio wa Rais wa Marekani Barack Omabama
ii) Ujio wa wake za maraism 14 Afrika kupitia taasisi ya George Bush ambapo mke mama Raula Bush ataongoza mkutano huo wa wake za marais
iii)Smart Partnership Dialogue ambayo inahusisha ujio wa marais wa Africa ambapo safari hii watazungumzia matumizi ya technologia hasa kwenye kilimo
iv)Suala la maji litajadiliwa pia.
Sijui hata nlikua nawaza nini! ila leo ndo ilikua hivi mjengoni

No comments:

Post a Comment