Wednesday, June 5, 2013

ILIKUA KAMA BAHATI YA MTENDE KUOTA JANGWANI




Ile wanatoka tu leaders viwanjani, nami nlikua nkimpeleka mgonjwa hospitali ya taifa ya Muhimbili, nikafuma baadhi ya hizi picha nikiwa katikati ya barabara.

Ulinzi wa kutosha ulikuwepo, kama kikosi cha farasi kutoka kurasini,trafic kuwaongoza waombolezaji na magari, polisi wa kawaida, na defenda za kutosha.
Na hili ndilo gari lililobeba mwili wa mpendwa wetu Albert Mangwea, na picha yake unaiona kwa nyuma hapo.
 Fans ni kama walikua bado wanahitaji kubaki na mwili wa Albert Mangwea Jembe lao, wakaanza kulifukuza gari kwa miguu.
Ulinzi wa kumwaga ulikuwepo Leaders hii leo mchana.

No comments:

Post a Comment