Friday, June 28, 2013

HONGERA WASIWASI MWABULAMBO NA MA MSAPU



BWANA HARUSI WASIWASI MWABULAMBO ALIINGIA SALON KWA SCRUB KWANZA KABLA HAJAVAA, NA HII NI YEYE PAMOJA NA PATRON WAKE.



MCHONGO UKIELEKEZWA NJIA, NA BWA HARUSI AKIFUATILIA

Kiatu cha bwa Was ndo kilivyoonekana, na alikivaa.

Imannuel Likuda akiwa tayari upande wa kichwani, tambua kua ndiye patron wa bwa Wasiwasi Mwabulambo,hapo akifuatilia namna mwari wake anavyotengezwa! maashalaah.

Patron Imanuel Likuda na Wasiwasi Bwa harusi, walipendezaje?

 Bi harusi alipendeza mno! hongera wifi yangu

Eneo la tukio nalo lili kua nadhifu mno.

 Na huu ndo ushahidi kwamba bwana WASI amefanya kweli! safi sana

Maharusi wakiwa na nyuso za tabasamu wakati sherehe ikiendelea.

Maashallah! busu la shukurani kwa kuifikia siku  hiyo pamoja.

Matron na mwari wake! kikubwa nimeipenda hair style ya bi harusi na alipambwa akapambika maashallah.
 Wasiwasi ni mtu wa furaha muda wote na furaha yake huambukiza, unamuona Immanuel Likuda wa Jahazi akimwemweseka  kwa raha.

Pamoja kwenye jukwaa, inapendeza mnoo

wageni wakijiachia harusini

Mrs Wasiwasi naye akiwaunga mkono maharusi kushereheka.
 Bwana haruis Wasi akijiachia
 Mybrother Anatoli akiwa kapendeeeza, dada hapo sijui imekuaje, ila ni swagga tu
 Mtitu naye alikuwepo
wakati wa msosi ulipowadia asusa ilikuwepo.'
Bwana wasiwasi akifurahia jambo na wageni wake.
kwa furaha wageni walipata fursa ya kupiga picha na maharusi


No comments:

Post a Comment