HAYA NDO MAJINA YA NGALAWA ZITAKAZO SHIRIKI
1 MNA YENU NINA YANGU
2- MTACHONGA SANA
3-WAZO LAKO
4-WAPE JAMAA KITOWEO
5-VUMILIA
6- IMANI
7- UNGA ROBO MBOGA CHUMVI
8- BUULAKI
9-UPO UWEZO
10- KAZI KWENU
11- SEPIDE
12- KIPIMO MACHO
13- KAMSONYEWE
14- DINDA ULE
15- ZINA MOLA
16- TUNUSURU
17- MENGINE SIRI
18- WEE! KWENDA
19- SI AJABU
20- MTU KWAO
CHAGUA JINA UTAKALO SHABIKIA, NA NGALAWA YAKO ISHINDE. NI
JUMAPILI, MWANANGU ITAKUA MUACHE MUACHE NJOO
UONE ''MISELE'' YA NGALAWA
No comments:
Post a Comment