Friday, June 14, 2013

ABEDI MZIBA LIVE MAWINGUNI 88.5 CLOUDS FM


Marafiki wawili.Mbwiii na Babooo , live studio leo hii wagombanao ndo wapatanao yakheee
Abedi Mziba a.k.a TEKELO akiwa katika studio za Clouds Fm.
 Abedi Mziba akijibu maswali ya pb team.wakati wa  hili game
Bwana harusi mtarajiwa Paul James Swea, akimsikiliza kwa umakini mkubwa mshambuliaji wa zamani wa Yanga Africa Abeid a.k.a Tekelo
Abedi akisikiliza swali kutoka kwa pj, wakati Babra Hassan akiweka mambo sawa na Mbwii akimuangalia mama Ashlititu, ila Mbwii amekwiva jamani uongo dhambi! chezea Clouds weye? hapana chekzeiyaaaaaa
Mnyama! Nyani mzeiya Gerald Hando akifuatilia mazungumzo ya Pj na Tekelo katika hili Game yenye udhamini mkubwa wa VODACOM TANZANIA na wengineo

No comments:

Post a Comment