Showing posts with label SIASA. Show all posts
Showing posts with label SIASA. Show all posts

Friday, April 19, 2013

WABUNGE SITA WA CHADEMA WASIMAMISHWA KUSHIRIKI SHUGHULI ZA BUNGE KWA SIKU 5


Wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akiwemo mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamesimamishwa Kushiriki katika shughuli za bunge kwa siku tano baada ya kutokea hali ya sintofahamu bungeni April 17,2013 wakati mkutano wa 11 ukiwa katika kikao chake cha nane ukiendelea,hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge Job Ndugai kusitisha shughuli za bunge katika hali isiyo yakawaida

Monday, March 4, 2013

Mauaji siku ya kupiga kura Kenya


                                                         Mmoja wa wale waliojeruhiwa

Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa watu 10, wakiwemo maafisa wa polisi wawili, wameuawa mjini Mombasa, Pwani ya Kenya. Tukio hilo lilitokea alfajiri, kuamkia leo wakenya wanapopiga kura.Hata hivyo polisi walithibitisha vifo vya maafisa wao wawili vilivyotokea wakati polisi walipowapiga risasi washambulizi waliokuwa wamejihami kwa mapanga. Lilikuwa shambulizi la kulipiza kisasi.

Wednesday, February 13, 2013

Zitto: Kamati ya Nishati na Madini na POAC zimevunjwa ili kuficha ufisadi wa bomba la gesi

Kenya Presidential Debate A Success


People stand behind pulpits during a presidential debate rehearsal

On Monday, ahead of the 4 March 2013 Presidential election, Kenya held its first ever televised debate between the candidates at 7:45pm local time.

Monday, February 11, 2013

Friday, February 8, 2013

Wakamatwa kwa kutaka kumpindua Rais Kabila



Rais Joseph Kabila. 

JO’BURG, Afrika kusini

POLISI Wa Afrika Kusini wamewatia mbaroni watu 19 kwa tuhuma za kuhusika na  upangaji wa njama kwa ajili ya  kuipindua Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Thursday, January 3, 2013

WANWAKE WA AFRICA 11 BORA KATIKA SIASA 2012



2012 uliwaendea vyema wanawake wanasiasa barani Africa, wanawake 11, miongoni mwao ni marais 2 na 1 ni kiongozi katika umoja wa Africa , nakupeleka uwatambue na huu ni utafiti uliofanywa katika bara hili kutambua mchango wa wana siasa hao katika siasa za Africa.!
                                                 Charity Ngilu Mbunge katika bunge la Kenya.

Elsie Kanza Mkurugenzi na kiongozi kutoka katika nchi za  Africa katika  World Economic Forum -  akitokea Tanzania

Wednesday, October 31, 2012

INJINIA MANYANYA AJITOSA KUTETEA NAFASI YAKE YA UJUMBE WA NEC TAIFA KUPITIA JUMUIYA YA WAZAZI

Injinia Stella Martin Manyanya ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, MNEC Jumuiya ya Wazazi toka mwaka 2007, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Mjumbe wa SADC PF na Msimamizi wa Kimataifa wa Uchaguzi kupitia vionjo vya Uhandisi, Ujasiriamali na Sanaa alivyokuwa navyo ameamua kujitosa tena kwenye uchaguzi wa kutetea nafasi yake ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kupitia Jumuiya ya Wazazi katika uchaguzi utakaofanyika kesho tarehe 31/10/2012 Mkoani Dodoma

Wednesday, October 24, 2012

UVCCM WAPATA VIONGOZI




MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI Mhe.JUMA SADIFA-2012-2017

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NI
Mhe.MBONI MHITA


WAJUMBE NEC
Jery Slaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
Kutokea JF

Tuesday, October 23, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT DODOMA



Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
             Mwenyekiti wa UWT mheshimiwa Sofia Simba akiongea jambo lililo chechemua meza.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)