2012 uliwaendea vyema wanawake wanasiasa barani Africa,
wanawake 11, miongoni mwao ni marais 2 na 1 ni kiongozi katika umoja wa Africa
, nakupeleka uwatambue na huu ni utafiti uliofanywa katika bara hili kutambua
mchango wa wana siasa hao katika siasa za Africa.!
Charity Ngilu Mbunge katika bunge la Kenya.
Elsie Kanza Mkurugenzi na kiongozi kutoka
katika nchi za Africa katika World Economic Forum - akitokea Tanzania
Ellen Johnson Sirleaf Rais wa Liberia
Joyce Banda Rais wa Malawi
Halima MdeeMbunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA.
Louise Mushikiwabo Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano kutoka - Rwanda
Ngozi Okonjo-Iweala Waziri wa fedha wa Nigeria.
Nkosazana Dlamini-Zuma Rais wa umoja wa Africa (AU)
Agnes Binagwaho Waziri wa Afya wa Rwanda.
Samia Nkrumah (binti wa Marehemu Kwame Nkuruma) ambaye ni Chairwoman of the Convention People's Party (MP) - Ghana
No comments:
Post a Comment