PIKIPIKI ALMAARUFU KAMA BODABODA.
Meya wa LUKSA OMAWE, Nchini Indonesia , bwana SAUDI YAHYA amesema
Wanawake kukaa kwa kuangalia mbele ni ukiukwaji wa maadili ya kiislamu na
kuamuru wakae upande.
Namna hii nchini Indonesia no!
Ache ni Jimbo pekee ambalo linafuata sheria za kiislamu ambapo
Watu ambao hufanya uzinzi au kunywa pombe katika Jimbo hilo mara nyingi
huadhibiwa hadharani.
Hivi ruksa!
Meya huyo ameongeza kuwa mara nyingi abiria wanaokaa
upande ni vigumu kuanguka.
HAYA HAPA BONGO, JAPOKUA SIO NCHI YA KIISLAM! LAKINI VIPI KUHUSU HESHIMA YA MWANAMKE APANDAPO TUKUTUKU a.k.a PIKIPIKI ALMAARUFU KAMA BODABODA HESHIMA IPO? HELMET JE? NAWAACHIA ACTIVIST! KAMA KUNA TATIZO AMA LAH!
No comments:
Post a Comment