Mwalimu wa
Shule ya Sekondari Kawe Ukwamani, jijini Dar es Salaa, Peter John (wa nne
kushoto mwenye suruali) akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi walioripoti shuleni
hapo leo asubuhi kwa ajili ya kuanza muhula wa masomo ya Sekondari baada ya
kufalu mtihani wa darasa la saba wa 2012 na kuchaguliwa kujiunga na shule hiyo.
Wanafunzi wote waliochanguliwa kujiunga na masomo ya Sekondari Kidacho cha
kwanza, na wale wa sekondari waliokuwa mapumzikoni, wametakiwa kuripoti shuleni
hii leo kote nchini.
No comments:
Post a Comment