Tuesday, January 8, 2013

Brent Musburger, 73, livens up the first half of BCS title game with comments on AJ McCarron’s girlfriend





Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea! Ni kawaida kuona familia ya mchezaji ikienda yote uwanjani kumpa saport ndugu yao! Timu yake ikishinda wanafurahi pamoja naye lakini ikiwa vinginezo wanahuzunika pamoja naye na kurudi home vichwa chini!



Mengi hua yanajiri michezoni, lakini hii ni kali ya mwaka kwa commentator wa mchezo wa rugby katika kipindi cha kwanza cha michuano ya the BCS championship game kilikua kigumu na kulihitajika burudani kidogo! Hivyo mchezaji  AJ McCarron  mpenzi wake aitwaye Katherine Webb, alifanyiwa usanifu kidogo.

Wakati hayo yakijiri, tayari kulikua na mabao  14-0 katika robo ya kwanza,  wapiga picha wa  the ESPN  wakamnasa miss Webb wakati anasanifiwa , na alikua ameketi karibu na mama mkwe wake, ambaye ni mama wa McCarron, aitwaye Dee Dee Bonner, na baada ya kuona mrembo huyo amevutwa na kamera watangazaji hawa Musburger na  Kirk Herbstreit wakafanya mambo yao ya usanifu kwa raha zao:

Baada ya kumtaja  Webb, ambaye ni miss Alabama na kumsifu kama   "lovely lady," commentator huyo mzee wa miaka 73 akaanza kummwagia misifa bibi huyo wakabadilishana maneno na mwenziwe kama ifuatavyo! -

"You quarterbacks, you get all the good looking women," Musburger said. "What a beautiful woman."
"Wow!" Herbstreit said.
"Whoa!" Musburger chimed in.
"AJ's doing some things right down in Tuscaloosa," Herbstreit said.
"If you're a youngster in Alabama, start getting the football out and throw it around the backyard with pop," Musburger said. VITUKO MICHEZONI KALI YA MWAKA MPYA HII, HII NI NADRA KUSIKIKA NA KUONEKANA!

No comments:

Post a Comment