Thursday, January 3, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA SAJUKI ENZI ZA UHAI WAKE



RIP SAIDI  KILOWOKO A.K.A SAJUKI!
Sajuki alipendana mno na mkewe WASTARA!

Penzi lao liliwatia madonge watu wenginene.
Madhila yakaingia mke wa sajuki Wastara  akapata ajali ! ilo gharimu mguu wake
Saidi  akaugua!
Japo ugonjwa na madhila viliingilia ndoa yao lakini upendo ulibaki pale pale kama uonavyo!
pamoja na yote hayo walijaaliwa mtoto mmoja.
Alipenda sana kuvaa kofia za aina hii.
akamuambukiza mkewe!
Mwishoni alikua anavalia hivi!
kazi zako,kipawa na upendo wako SAIDI KILOWOKO vitaishi miongoni mwetu daima.

No comments:

Post a Comment