Showing posts with label historia. Show all posts
Showing posts with label historia. Show all posts

Thursday, October 18, 2012

UNAKUMBUKA VITABU HIVI VYA SHULE?

    



Kitabu hiki ni baadhi ya vitabu vya jifunze Kiswahili Fasaha ambavyo vimesaidia sana mashuleni wanafunzi kujifunza kiswahili fasaha. Unakumbuka vitabu vingapi?? 

Mie nakumbuka hicho juu cha Paulo na hivi hapa (titles)
1) Fikiri na Sadiki
2) Kibanga ampiga mkoloni
3) Bulicheka na nduguze
4) Twende tukawinde Ngedere

Wewe unakumbuka vingapi pamoja na hadithi zake? je vitabu vipi vya mashairi unavyokumbuka? Tukumbusheni jamani. LOL.....



Iwapo kuna mtu anajua wapi nitaweza kupata na kununua vitabu hivi na vinginevyo vya kiswahili naomba aniambie nahitaji ajili ya kufundishia watoto wangu. Pia vitabu vya mashairi ya Kiswahili