Monday, June 2, 2014

DONALD STERLING NAYE AISHITAKI NBA



Donald Sterling amefungua kesi akiwashitaki  NBA, na huku akitaka alipwe fidia ya Dola Bilioni moja. Kwa madai kwamba kuzuiwa kwake kuendelea kuwa mmiliki wa TEAM ni kunyume na katiba ya NBA.. Pia madai mengine aliyoyafungua ni kupinga kulipishwa FINE ya Dola milioni mbili na nusu kwa UBAGUZI..!!

No comments:

Post a Comment