Friday, June 13, 2014

WORLD CUP BRAZIL 2014/ KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014




Brazilian pop singer Cláudia Leitte,JL na Pitbull walifanya show moja kali mno ambapo JL alitupa shida na stress zake nyuma na kurusha mikono juu, akatisha mno na kivazi chake.
 
Kwa pamoja wakizunguuka uwanjani


Perfomance ilo fana mnooo!
 One to one hiyo dadadadeki.

Energy ya hataree

Mamaako sasa mzuka ulipompanda aliinuka juu! Kidole juu kama anasema ye ni no 1

 Kila kona ametisha!!!!
J.lopez akifanya yake Ufunguzi Kombe la Dunia
 
 


No comments:

Post a Comment