Wabunge 47
toka vyama tofauti vya siasa wameamua kujiunga na JKT (Jeshi la Kujenga Taifa)
kwa ajili ya mafunzo na uzalendo kwa taifa. Baadhi ya wabunge hao ni David
Kafulila (NCCR-Mageuzi), Zitto Kabwe (CHADEMA), Halima Mdee (CHADEMA), Freeman
Mbowe (CHADEMA), Abdulkarim Shaha (CCM), Esther Bulaya (CCM), Twaida Galusi
(CCM), Neema Hemed (CCM), Ezekiel Wenje (CHADEMA), Joshua Nassari (CHADEMA),
Raya Ibrahim (CHADEMA), Godbless Lema (CHADEMA) na Nyambari Nyangwine (CCM).
No comments:
Post a Comment