Wednesday, March 13, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA 'CITIBANK'S'


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,  Machi 12, 2013 kwa mazungumzo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide na Mkurugenzi Mtendaji wa Citibank Tanzania, Joseph Carasso (kushoto) wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana  Machi 12, 2013 kwa mazungumzo.

No comments:

Post a Comment