MWANZA: WATATU WAPOTEZA MAISHA,30 WUJERUHIWA KATIKA AJALI, ENEO LA NYAMANGOLO
Watu watatu wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa vibaya baada
ya basi la abiria lililokuwa linatoka Musoma kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso
na lori la mizigo katika eneo la Nyamongolo Igoma jijini Mwanza.
No comments:
Post a Comment