Polisi Zanzibar yatoa taswira ya mchoro wa muuaji wa padri Evarist Mushi
Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa
taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiye sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa
kanisa katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akiwa njiani
No comments:
Post a Comment