Wednesday, March 6, 2013

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI APIGWA


                                                                     Nd. Absalom Kibanda


Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda, usiku wa kuamkia leo, wakati akirejea nyumbani kwake, alipigwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake, na sasa yuko hospitalini kwa matibabu. tusubiri taarifa za maendeleo yake huku tukimuombea afya njema na pengine atueleze kama amewatambua waliompiga na kisa hasa!

No comments:

Post a Comment