Friday, March 8, 2013

HAPPY WOMEN'S DAY


Leo ni siku yake kwanini umfanye ajute kuzaliwa mwanamke? NOOOOO DONT!

 Why umchome moto wakati mwingine kwa kumhisi tu? ati wivu? mtenda akitendewa?...........
Mwanamke anapokosewa haki zake ama unyanyasaji na ukatili dhidi yake ukipitiliza kiwango cha uvumilivu! hugeuka na kua kiumbe cha ajabu na hatari sana! mtazama mama huyo wa Mkoani Iringa akitetea haki yake!
Ukimzingua utamtambua!
mwanamke ni mzazi na mlezi wa familia! bila kujali uzito wa majukumu yake! yote atayatekeleza akiwa na tabasamu usoni, ingawa moyoni anaweza kua amebeba huzuni kuu.
Mama huyu amechoka na aliyotendewa akaamua kumrudi mwandani wake!. ITS NUT GOOD WAJAMENI!
Ni mama yangu ni shangazi ni mke wangu ni binti yangu ni dada yangu, ni mwanamke wa kitanzania. Nampenda kwa moyo wangu wote.yatamke na uyaishi hayo.

No comments:

Post a Comment