Friday, March 8, 2013
TASWIRA MJENGONI LEO MADE IN TANZANIA
Huu ni katika mpango mzima wa MADE IN TANZANIA! leo mjengoni watu wameripukaje? Shafii Dauda wa Sports Extra,Dina Marios wa Leo tena na mimi hapo! wa Pb team kwenye segment ya JJ360! picha fupi sio! kwa chini utaniona!
Sooo sorry simu ina screen protector so unaona kama wingu hivi! na nyuma yangu kuna masalia ya malighafi, sio issue sana mjengoni tunarekebisha hiki na kile ili tuendane na hadhi yetu! lakini ndivyo nlivyotupiamo!
Huu ni mkono wangu! nimetupiamo!
Babra Hassan wa Pb alivyotupiamoooooo!
Mkono wa mkuu wa idara ya Vipindi Clouds Fm bwana Sebastin Maganga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment