Friday, March 8, 2013
WAZIRI WA UCHUKUZI DKT. HARRISON MWAKYEMBE AKUTANA NA WANACHAMA WA WAKALA WA FORODHA NA UONDOSHAJI SHEHENA TANZANIA (TAFFA)
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wanachama wa wakala wa forodha na uondoshaji shehena Tanzania(TAFFA) leo Mchana wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Karimjee.
Wananchama wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania (TAFFA), wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani), Wakati alipokuwatana nao leo mchana katika ukumbi wa Karimjeee. Waziri wa Uchukuzi amewaagiza wananchama hao kuhakikisha wanawaondoa mawakala ambao wanawaharibia sifa yao.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(Mwenye suti nyeusi), akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania(TAFFA) Bw. Edward Urio (kulia kwa Dkt Mwakyembe), leo wakati wa mkutano wake na Wananchama wa wakala hiyo.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wanachama wa wakala wa forodha na uondoshaji shehena Tanzania(TAFFA) leo Mchana wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Karimjee.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment