Mshindi wa Tuzo la Vipaji akiwa anafuraha Muda Mchache baada ya kutangazwa kuwa yeye ndiye mshindi.
Mshindi wa Miss Utalii Vipaji kutoka Mkoa wa Manyara wa kati kati akiwa na washindi wenzake wawili waliofika mpaka Tatu bora.
Muheshimiwa Meya wa Manispaa ya Temeke Maabadi Suleiman Hoja Akimvisha tuzo la vipaji Mshindi kutoka Mkoa wa Manyara.
Washiriki walio ingia tatu Bora wakiwa katika picha ya Pamoja na Mustaiki meya.
No comments:
Post a Comment