haya sasa
maznat bridal inakuletea sherehe ya
miaka kumi tangu ianzishwe....najua maznat kashapamba wengiiii, wewe bi harusi
na matron na maids zako sambamba na wanakamati wako najua ndani ya miaka 10 nao walishaozwa na
wakapambwa na mkono wa
Maznat mimi na wewe
tujumuike
kwa pamoja twende tukashereheke nae
KWA
SHILINGI ALFU
50,000 TU,
(CHAKULA
,BURUDANI & SARE YA KITENGE CHA KENTE )
TAREHE
:: 5 MAY save ze date
MUDA ::SAA 9
MCHANA NA KUENDELEA
UKUMBI
:: DIAMOND JUBILEEE VIP
MAWASILIANO
0783 444
470, 0752 444 470 NA 0712 000 666
Maznat ndo huyo na kitenge tutakacho vaa ndo hicho, nunua
mapema ukashone utokelezee ... kwa meza ya watu 10 ni laki
500,000 ,sambamba na vitenge 10
kuanzia
tiketi 5 (sema uletewe wapi)
TIKETI
NA VITENGE VINAPATIKANA
MJINI
POSTA ::CROWN HAIR CARE YMCA ,OPP HOLIDAY INN
SINZA
::8020 FASHIONS BOUTIQUE
MIKOCHENI ::MAZNAT BRIDAL SALOON
CHANZO NI 8020 BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment