Wednesday, March 13, 2013

I LOVE YOU TANZANIA!


 Hakika mpiga picha na aliye pozisha mikono nawapa hongera woteee, kwasababu kuna ubunifu hapo mkubwa tu! na jua linaonekana kwa kati! wow! thank you so Much brother Gerald Hando maana ndiye aliyeitoa picha hii.

 Vijana wa mjengoni! mwenye kofia muache, lakini mdada huyu anaitwa L pamoja na Dj Fetty wa ukwe eh! wakidumisha uzalendo!

No comments:

Post a Comment