Waziri Mkuu wa Kenya
na mgombea urais kwa tiketi ya chama cha
Coalition for Reforms and Democracy (CORD), Raila Odinga akipiga kura yake
kwenye kituo cha Kibera, mjini Nairobi jana. Wakenya wali piga kura lkatika
uchaguzi mkuu kumpata rais mpya atakayerithi nafasi inayoachwa na Rais Mwai
Kibaki aliyemaliza muda wake na ushindani mkali unaonekana kuwapo kati ya
Odinga na Uhuru Kenyatta.
No comments:
Post a Comment