Wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akiwemo mnadhimu wa
kambi rasmi ya upinzani bungeni wamesimamishwa Kushiriki katika shughuli za
bunge kwa siku tano baada ya kutokea hali ya sintofahamu bungeni April 17,2013
wakati mkutano wa 11 ukiwa katika kikao chake cha nane ukiendelea,hali
iliyomlazimu naibu spika wa bunge Job Ndugai kusitisha shughuli za bunge katika
hali isiyo yakawaida
tufike mahali tuseme basi katika suala la upendeleo, CCM wamependeleana hadi tumefikia kuwa taifa la mwisho kwa umaskini, sasa basi nao wakae pembeni kama wapinzani waone madudu ya wenzao yao yanatosha
ReplyDelete