Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo jana
No comments:
Post a Comment