Friday, April 5, 2013

DINA MARIOS WA CLOUDS FM NI MWANAMKE WA MWAKA 2013!


Mwanamke wa mwaka DINA MARIOS akiwa na PHILLIPO MWIHAVA wote wa CLOUDS MEDIA GROUP! Na ametwaa tuzo ya Tanzania woman of achivement awards_woman of the year!! sasa bwana hapo alikenyua meno kwa mafanikio ya bi Dina na akampongeza! na huo ndo uzalendo!!

 Dina akiwa na tuzo yake.
Tuzo inavyoonekana.


Dina marios alipata pia cheti cha utambuzi.
Gea Habib mamaa ya hekaheka naye akiwa na tuzo ya Dina Marios!
wacha wee CHEUSI NA CHEUPEE DAWA ! MASHALLAH MKE WA BWANA HABIB pamoja na tuzo ya Dina Marios! a.k.a mwanamke wa mwaka 2013.
Producer wa Leo tena Adrian Kaneno na boss wake Dina Marios! peace n' Love!

No comments:

Post a Comment