Tuesday, October 23, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT DODOMA



Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
             Mwenyekiti wa UWT mheshimiwa Sofia Simba akiongea jambo lililo chechemua meza.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)


                    Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia

                                              Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT

Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakirushwa na Sizya Mazongela wa kundi la Segere

                  Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa UWT wakicheza segere
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa UWT  Sophia Simba

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakongwe wa UWT katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma  baada ya kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wake wa viongozi katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma baada  kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na wanachama wakongwe wa UWT Ikulu ndogo Dodoma katika mchaplo aliowaandalia wajumbe wa Umoja huo baada ya kutoka katika  ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

No comments:

Post a Comment