Nilipotembelea
viwanja vya Leaders Club hapa jijini Dar-Es-Salaam , kwenye harakati za kuangalia
vitu kwa jicho la tatu nilikuta mambo yanaendelea kama yalivyo pangwa, nikakuta
vitendea kazi viko eneo la tukio tayari kabisa kuusimika muonekano mpya lakini
burudani ileile! Hah!
Jukwaa
limeanza kupata muonekano huu, baada ya kuunga unga vyuma , likitayarishwa kwa
ajili ya mnyama! The big boss himself Rick
Ross kukwea October 6 mwaka huu! , tel your friend , tel your Friend
hah! Muonekano mpya burudani ni ile ile. Ticket utazipata hapa Clouds House,
Escape 2 , Robby One Fashions, Born to Shine Mwenge karibu na TRA na
kwingineko, huko utapata tiketi kwa tshs kwa 20,000/- na ukija mlangoni ni tshs
25,000/- kwa Serengeti Fiesta Bhaaaas! Usisite njoo na rafikiyo to parrrrtyy!!
Nani miongoni
mwa madj walio wengi ndani Clouds Media Group atakayepata bahati ya kusababisha
katika moja na mbili, atapaswa kusimama katika jukwaa hili? Tusubiri, ila
atapanda hapo na mambo yake yooote!
Main Entrance!
Inavyoonekana kwa sasa! Kwabaadae itakuaje? Tusubiri!
Kwa pembeni
inaonekana hivi!
Kuna maeneo
ilibidi kurekebisha, basi hakukua na jinsi ni utekelezaji tu!
Vyoo kwa
kujihifadhi vimekwisha kua eneo la tukio mapema iwezekanavyo! Ni mipango tu na
usimamizi ulio thabiti. Kila kitu kinawezekana! Bhaaaaas!
Katika kutekeleza
kazi hizo za maandalizi lolote laweza kutokea! Watu wa zimamoto kutoka ULTMATE
SECURITY WAPO MUDA WOTE WA KAZI! CONGRATS KWA KAMATI YA MAANDALIZI, NILIWAKUTA
ENEO LA TUKIO. Pole kwa mmoja wao bwana Godfrey aliumia kazini. KEGAJO.BLOGSPOT.COM inatoa pole za dhati na kukutakia uponaji wa haraka.
FOR THE
FIRST TYME IN TANZANIA OCTOBER 6,2012. CONFIRMED
No comments:
Post a Comment