Utitiri wa vipepeo huu umeonekana Chincua reserve in Mexico, napenda kupiga picha ,sikupigwa lakini hata za kupiga sijaweza vyema mnivumilie.
Inapendezaje? waone walivyokaa inavutiaje?
Idadi kubwa ya vipepeo kama billion hivi huruka kila
mwaka baada ya kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine hasa katika miezi ya October
na March na hufanya safari ya mile 25,000
ili kufuata ujoto joto mahali pengine baridi iwazidiapo!.
walivyogandana kaka ua moja hivi lakini, ni wengi kwa wakati mmoja.
Inashangaza kuona, aisee Mungu aliumba kiukweli
Vagalant huenda na kurejea sehemu ileile kila mwaka
No comments:
Post a Comment