Katibu
wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini, Sheikh Issa Ponda akiwa katika Hakimu
Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam alipofika kusomewa makosa mbali mbali
yakiwemo ya uchochezi wa kidini.
Ponda na wenzake walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu kujibu mashtaka mbalimbali ikiwa
ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia Kiwanja katika eneo
la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika
zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.
No comments:
Post a Comment