HII NI CHAI YA JIONI
ILI WATU WASILALE KWENYE MAFUNZO, LAZIMA KUFANYA MAMBO KAMA HAYA!
DADA KUTOKA SIBUKA FM NA KAKA KUTOKA RADIO FREE AFRIKA
NIKIWAONGOZA WASHIRIKI KUPASHA ILI KUMPONGEZA MTOA MADA
TUKIWA KATIKA MJADALA WA HOJA ZA UTAWALA BORA
HARUN WA CLOUDS AKIWA NA FELISTER WA RFA
JIMMY LUHENDE AKIWA NA VERONICA VITALIS WA FARAJA FM
MUWEZESHAJI FARAJA AKITOA SOMO KWA WASHIRIKI
KISUMA MAPUNDA KUTOKA OXFAM AKIWA NA ALASANA WA OXFAM WAKIJADILI JAMBO.
MSHIRIKI KUTOKA RADIO SIBUKA DADA MOSHI AKIWA NA KAKA KUTOKA RFA
NIKIWA NA KIJUKUU CHA BIBI K KUTOKA RADIOKAHAMA FM MWENYE SHATI JEUPE KULIA KWANGU
HAPA NIKIWA NA FRANK KUTOKA MEATU NIKIMUELEKEZA JAMBO
JIONI TULIPATA MUDA MZURI WA KUBADILISHANA MAWAZO NA KUPATA VINYWAJI NDANI YA VIRGMARK HOTEL SHINYANGA
No comments:
Post a Comment