Monday, October 1, 2012

FIESTA 2012 MPANGO MZIMA - THE BOSS



Alipewa jina hili na wazazi wake William Leonard Roberts II tarehe yake ya kuzalizaliwa inatajwa kama January 28, 1976, lakini katika majukwaa ya muziki anafahamika kama known by Rick Ross mara zote akalipa swag jina hilo la kazi as RICK RO$$, akiwa anapeperusha bendera kama  ni rapper wa  Kimarekani. Ross alivumbua record label Maybach Music Group, huko akatoa album yake iitwayo Deeper Than Rap mnamo mwaka 2009 na  album ni  Teflon Don ya 2010. Mwanzoni mwa mwaka huu wa 2012, MTV  ilimtambulisha Ross kama  Hottest MC In The Game.
 
Naweza kusema kwamba ukizungumzia Team nzima ya Maybac music double MMG basi Rick Ross lazima awepo katika Team hiyo ambayo imehusisha vinjwa vitano kama Stalley,Omarion,Meek milli,pamoja na Rozay Boss.Najua kwa sasa unakuwa na hamu ya kuweza kumfahamu yule ambaye atawasha moto katika stage ya serengeti fiesta mwaka huu.Nakumbuka mwaka jana mtu mzima Ludacris alinukisha mbaya katika ile stage ya Leader club sasa habari nzuri ni kwamba Rozay Boss au Rick Ross in da Fiesta serengeti 06/10/2012 Upo! Sa  aja bongooooooooo bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi

No comments:

Post a Comment