Sijui ni wazimu au nikupagawa ?.Lakini
Edward Smith kutoka Washington Marekani anasema yeye ni Mzima na akili zake.
Edward Smith
Edward Smith hana haja na mpenzi
anayetembea kwa miguu miwili.Mmarekani huyo anasema sio hata hana hisia , anazo
tena nyingi. Lakini sio kwa binadamu.
Edward Smith ambaye ni mtunzi wa
mashairi ana fanya mapenzi na gari, kufanya mapenzi kwa maana halisi ya kufanya
mapenzi . Smith anasema akiwa na hamu hufanya na gari kama vile nissan, pudjo,
mercidez benz na vitu kama hivyo, lakini sio mtu.
mercidez benz
Shirika la habari la Reuters
limeripoti kwamba kwa wakati huu Edward Smith anafanya mapenzi na gari lake
jeupe la Volkswagen Beetle .
Volkswagen Beetle .
Usiniulize anafanya mapenzi vipi na
magari. Mimi sijui.
Lakini Edward Smith amefichua kuwa
mara ya kwanza kufanya mapenzi na gari alikuwa na umri wa miaka 15, tena gari
la babake aina ya Range Rover.
Range Rover
Na kwa yale mahaba aliyonayo kwa
mpenzi wake wa sasa Volkswagen Beetle ambaye ameeishi naye kwa miaka
mitano,amelibandika kipenzi chake jina la Vanilla.My sweet vannila wala sio my
sweet Elizabeth.
Miaka mitano amedumu na mpenzi huyu Volkswagen Beetle
Hebu nambie na wewe una mapenzi na vitu gani? Je unafanya
navyo mapenzi? Mh! Ukistaajabu ya musa utayaona ya firaun! Ijumaa kareem
No comments:
Post a Comment