Tama za Mke zamsabishia mume adhalilishwe
Wafanya biashara
wa eneo la GOKHALE nchini Uganda walikua wakiendelea na shughuli
zao za kila siku huku wakimshuhudia mwanamume mmoja akiwa mtupu huku akiisukuma
baisikeli yake na miguuni ana soksi zake!
Mwanamume huyo
alilazimika kutembea mitaani akiwa utupu baada ya kukamatwa akidokoa body lotio
kwenye supermarket moja.
Yasini mtaani akiwa amezongwa
bwana huyo jina lake ni Yasin Kasima, mkaazi wa Njeru, aliisukuma baisikeli yake hadi Njeru kununua vifaa vya nyumbani , alieleza uma baada ya kukamatwa kwamba mkewe alimpiga beat kua asipo mnunulia na kumletea lotion yake ilokwisha basi hatampa unyumba, jamaa anadai hakua na pesa za kutosha na unyumba anauhitaji hivyo hakua na jinsi.
lotion hiyo ilikua inagharimu sh2,800, na pesa
hiyo Yasin hakua nayo , wakati alipokamatwa alishurtishwa kulipa faini ya sh50,000
fine. Na aliposema hana hiyo pesa walinzi wa
supermarket hiyo walimtoa nje ya supermarket na kumtaka achojoe nguo zake kama sehemu ya adhabu .
supermarket hiyo walimtoa nje ya supermarket na kumtaka achojoe nguo zake kama sehemu ya adhabu .
Kasima, aliiona adhabu hiyo kua chamtotoa na kujitia hasikii matusi ya wapiti njia walomuona mtupu mitaani na alipoona akitembea zogo linazidi akaamua kuendesha baisikeli yake. Kilichoendelea kati yake na mkewe sijui japokua nilitamani kujua hatma kama alipewa unyumba? Au alinyimwa?kwa kutorudi na lotion hiyo
No comments:
Post a Comment