ujenzi wa daraja la Kigamboni ulipofikia ambapo linaendelea kujengwa katika bahari ya Hindi,eneo la Kurasini jijini Dar-Es-Salaam, ambapo likikamilika litakua na njia zipatazo 6 ,zikiwemo barabara za juu na likikamilika litakua daraja kubwa na la kipekee katika nchi za Africa Mashariki na Kati.
Mmoja wa wafanyakazi wa daraja hilo ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiendelea na zoezi la kupiga picha huku akiwa amesimama kwenye mtando unaopitisha umeme mwingi bila kuchukua tahadhali wakati waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli alipokua akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo leo
au nyaya zinawajua wakandarasi? so haziwadhuru? hahahaha lol.
No comments:
Post a Comment