Wednesday, September 19, 2012

Aina 5 Ambazo Wanawake Wanafanya Vizuri Zaidi



Leaders

Wanawake walio wengi hukumbana na vikwazo lukuki wakiwa kazini tofauti na wanaume wao mambo hua shwari! Lakini pamoja na vikwazo na yote atakayopitia mwanamke! Moja lililokuu ni kwamba uwezo wake kiutendaji ni mkubwa pengine kuliko wanaume, na heshima huwa juu zaidi pale tu mwanamke anapokua na cheo kazini, hapo kila mwanaume huweka heshima.

 






Police Officers   

Hii ni kazi kama kazi zingine zote! Ni utaalamu tu unaotofautiana, lakini linapokuja suala la utekelezaji wa sheria,wanaume ndo utaona udhaifu wao!
haya si maneno yangu mie blogger lah! Bali ni utafiti uliofanywa na University of Maribor na wakaibuka na ugunduzi kua wanawake  wao hawahongeki kirahisi ukilinganisha na jinsi ingine na wanawake askari hawayumbishwi na hisia za mtu mwingine  





Computer Programmers
 
 
Idadi ndogo inaonesha wanawake wanafanya vizuri katika uga huo, nah ii ni kutokana na wao wenyewe kutojishirikisha zaidi na fani hiyo, na kwa wataalamu wa mambo wanaeleza kwamba namna wanawake wanavyogusa keyboard inavutia na kuna utofauti mkubwa  zaidi kuliko wanaume! Si maneno yangu akuuu!

field hii ni mahali pekee ambako wanawake walipwa vizuri zaidi kuliko, so kuna uhitaji mkubwa wa wanawake kujitoma katika tasnia ya it nah ii ni kwa muujibu wa the Ingres database company, wanawake huiacha keyboard saafi na huacha maoni na notes  ya kutosha na wakifundisha somo la it wanawake ni facilitator wazuri mno pamoja na masomo mengine.
 kwa upande wa wanaume wao hutaka kuonesha ufundi na vipaji vyao na kutaka kuweka heshima kwa wanaojifunza kutoka kwao.



AU leader Nkosazana Zuma (© Gallo Images)

Newscasters



Uga huu ni sawa na pande mbili za upanga wa zamani, wanawake wana uwezo mkubwa wa kuwasilisha  habari lakini pia kwa upande wa pili wanaweza kubananga mpaka baasi , na hayo yote husababishwa na wanaume!
utafiti uliofanywa na waSwiss umegundua kwamba , watu wanapopokea taarifa ya habari kutoka kwa msomaji wa kike, mara nyingi huhoji ukweli wa habari hiyo pindi mwanaume akiwasilisha!
watazamaji huwa na mapokeo mazuri kwa wanawake na haishangazi watangazaji na wasomaji news wameongezeka kwa haraka zaidi kutoka kundi dogo mnamo mwaka 1950 na kuwakilisha karibu nusu ya tasnia hiyo hasa katika nchi ya U.S. na wamepata mashiko, na utafiti mwingine wa chuo kikuu cha  Indiana University study umegundua waandishi wa habari wanawake wenye mvuto huwavuruga kabisa watazamaji na kushindwa kuzingatia nini wanachowasilisha na badala yake hubaki kuwaajabia!


AU leader Nkosazana Zuma (© Gallo Images)

Doctors


Je unataka kuchagua doctor  wa kawaida au wa meno? Chagua wa kike! Yah sorry kwa madaktari wa kiume kama we ni mwanaume najua wanawake watachagua madaktari wanaume! Yah ndivyo ilivyo.  wanawake madaktari ,wahudumu ama wauguzi  wao hua na mguso wa kipekee kwa wagonjwa na huruma yao ni ya dhahiri na hutumia karibu asilimia 10 ya muda wao wakiwa na wagonjwa wao kulinganisha na madaktari wa kiume!
Na kitaaluma huwa wanafanya makosa ya kitabibu kwa nadra sana! Na utafiti uliofanywa na The American Medical Association umegundua madaktari wanaume hua wanashtakiwa mara nyingi zaidi kwa makosa ya kitabibu waliyoyafanya na serikali ya Uingereza nayo pia imegundua kwamba wanawake chini ya asilimia 5 huchunguzwa kutokana na makosa ya kitabibu.

 













No comments:

Post a Comment