Friday, September 28, 2012

The Rise And Rise Of Matata Fahari ya Tanzania!!!

Flaviana Matata (© Facebook) 


Africa ni sehemu pekee ambako ma models hukuzwa kuanzia level ya chini hadi kufikia kiwango cha juu, nah ii ni kwa miaka mingi iliyopita na kufanikiwa kuchangia ukuaji wa biashara models.
katika miaka ya hivi karibuni, maonesho kadhaa ya mavazi ambayo huendeshwa nje na ndani ya bara la Afrika basi hukosi kuwashuhudia models wa bara kubwa Africa!
 
Flaviana Matata (© Facebook) 


Model Flaviana Matata,  kutoka nyumbani Tanzania ana umri wa miaka 25 , na anajulikana kimataifa kwa kazi zake zilizotukuka za modeling  na kujinyakulia sifa ya becoming one of the world’s brightest stars.



Flaviana Matata (© Facebook)


Matata , alianza masuala ya modeling  muda mfupi tu baada ya kushinda taji la urembo la Miss Universe beauty pageant hapa  Tanzania mnamo mwaka  2007, na akafanikiwa kuonesha miondoko yake mara sita katika  mji mkuu Mexico, ina amfanikiwa kuutikisa tasnia ulimwengu wa  modeling na kusimama jukwaa moja na waliomo katika tasnia hii kwa muda mrefu
Flavy ana urefu wa futi  5 na inch  9, ni mzaliwa na kulelewa katika nchi hii ya Tanzania, alifanikiwa ku make global headlines imwaka huo wa  2007  . 


Flaviana Matata (© Facebook) 



Pamoja na kwamba Matata alianza kujitoma katika tasnia hii akiwa amempoteza mama yake kipenzi akiwa katika umri mdogo  hiyo haikumzui kujijengea heshima katika tasnia japokua moyoni alikua analia lakini machoni ana tabasamu la kutupiamo na katika hilo huwezi kumlinganisha na model yeyote

Flaviana Matata (© Facebook)

 


Inafahamika kua mamake Flaviana alikufa katika ajali ya boti katika ziwa   Victoria, tukio ambalo bado bichi moyoni mwake kila wakati na kumbukumbu mbaya  za tukio hilo hujirudia kichwani mwake lakini Mungu alimjaalia Flavy kutafuta njia yake ya kukua na kuishi. Amekulia katika kijiji alichozaliwa , na amesoma Flavy masuala ya Electric Engineering katika chuo cha  Arusha Technical College.

Flaviana Matata (© Facebook)



Muda mfupi tu baada ya  Miss Universe, Flavy alihamia South Africa na kuanza rasmi shughuli ya  modeling na akapewa contract na boi wa Agency moja ya SA modeling agency.
amekwisha  fanya matukio kadhaa ya hisani huko New York, Flaviana alikuja kukutana na Russell Simmons ambaye alimsaidia kufanya interview kadhaa na  modeling agencies  zilizoko Marekani. Na baada ya hapo akaingia mkataba na international agency –  iitwayo NEXT Network”.
Matata, akapata chapuo na kuwekwa katika 10 bora za Essence Magazine as kama top  Black Models, na   NEW YORK ndo mahali aliko amua kukita makazi yake. Lakini pia anafanya shughuli zake jijini London, Paris, na Milan  na miji mingine.
  

Flaviana Matata (© Facebook) 



Mnamo mwaka 2011  Arise Magazine Fashion Week lilimtangaza Falaviana kama mshindi wa  Model of the Year  amabye amefanya kazi na wapiga picha wakubwa kama Russell James, Fadil Berisha, Josh Ollin, Mario Torres, na  Patrick Demarchelier kati ya wengi waliopo
Flaviana pia amesha vaa na kukata mwendo kwa madisgner wakubwa wa ndani na nje ya Tanzania kama Sherri Hill Tommy Hilfiger, Mustafa Hassanali Vivienne Westwood, Tory Burch, Suno, Louise Gray, Rachel Roy, Charlotte Ronson, Tony Burch na  miongoni mwao


Flaviana Matata (© Facebook)




nikitambua brands kadhaa za dunia ambazo Flaviana anafanya kazi nazo nay eye kua balozi wake  ni  Ambassador of Diamond Empowerment Fund (DEF).heshima hii anashirikiana na  Kim Kardashian na  Selita Banks.
lakini hivi karibuni alizindua  mfuko wake wa Flaviana Matata Foundation (FMF)  na kupata maoni kadha ndani na nje ya nchi kusaidia wenye uhitaji



Flaviana Matata (© Facebook)



Matata  pia anafanya kazi na Life Project for Africa,asasi ambayo inajishughlisha na kuinua masuala ya afya  yawe bora , elimu na makazi na kuwapa matumaini waliokata tamaa
 

Flaviana Matata (© Facebook)


Awali aliwahi kufanya kazi na Carlton Masters, na Hope Sullivan. NAKUPENDA FLAVIANA KEEP IT UP!






1 comment:

  1. LOV U FLAVIANA ENDELEA KUTUWAKILISHA TANZANIA. NAPENDA

    ReplyDelete