Africa ndilo
bara la pili kwa ukubwa duniani. Bara hili lina ukubwa wa square kilometers milioni 30 , na haliko
mbali na bara la Asia lenye square kilometer milioni 44 . si hay ohayo tu kuna
Marekani,China na India yanayoingia bara
Asia na kuunda European countries.
|
Najua mlio
wengi mnazijua pyramids zilizoko Egypt tu! Lah hasha bali zipo pia North na South Sudan. Na kwa ujumla wake nchi
hiyo ina pyramid zaidi ya 220 pyramids
na ni za zamani kuliko za Egypt.
|
Kenya ni
wasafirishaji wakubwa wa chain a pia ni wasafirishaji wakubwa wa maua.na
tunapozungumzia masuala ya usafirishaji lazima kuzitambua nchi kama
Libya, Angola, Algeria and Nigeria nao wamo katika ramani ya top 20 duniani kwa usafirishaji wa mafuta. |
Africa ina
fanya idadi ya watu waliomo barani humu kufikia karibu watu bilioni 1..
|
Huu ni mto Nile ambao ni moja kati ya mito mirefu duniani
ambao unakadiriwa kua na urefu wa kilomita 6,650.Lakini si ziwa hilo tu bali
kuna mto Congo, ambao una urefu wa kilomita 4,700, na
linashika namba nane kwa urefu duniani.
|
Nusu ya
almasi zote zinazouzwa duniani zinatoka Africa kusini na Africa ya kati.
|
Africa kuhusiana
na tuzo za amani za Nobel ,waafika 18 wamejipatia tuzo hiyo ya Nobel.na wawili
wanaishi katika mtaa wa Vilakazi huko
Soweto.
|
Moja ya
vivutio vikubwa barani Africa ni Chura wakubwa duniani wanapatikana kwenye bara
letu katika misitu ya Cameroon na Equatorial Guinea.na wanaitwa Goliath Frog,na hurefuka
na uzito wao hufikia kilo 3.
|
Jangwa la Sahara ndilo kubwa duniani. Inaunganisha ama
kugusa nchi kadhaa na kuchukua sehemu kubwa duniani ukubwa .
|
Eneo ambalo
lina msongamano mkubwa wa watu barani Africa ni jiji la Lagos nchini Nigeria,ambalo lina makazi na watu milioni 7.9,na jiji la Kinshasa nchini Drc ndilo la
pili kwa wingi wa watu ambao ni milioni 7.8,
jiji la Cairo huko Egypt ama Misri ni la
tatu ambalo lina watu milioni 6.7 million.
|
Mto Limpopo ulikua ndio makao ya ufalme wa Mapungubwe.ambao uko katika mpaka wa Zimbabwe, Botswana na South Africa, utawala huo wa kifalme ulisambaa hadi katika mataifa mengine kutoka barani Africa hadi kufikia peninsula ya bara Arab |
Kila
mmoja ana asili ya Africa. Vipimo vya kinasaba vinathibitisha kwamba kila mwanadamu
ana uhusiano na watu waliokua mateka nje ya Africa kama miaka 125,000 iliyopita.
Na watu walianza kuzaliana barani Africa baada ya miaka 80,000 |
Ziwa Malawi,
ambalo ni ziwa shirika kati ya Malawi,
Mozambique, na Tanzania, ni la nane kwa
ukubwa duniani.linaongoza kwa uvuvi wa samaki ambao hawapatikani popote
ulimwenguni.
|
Barani Africa
kuna nchi zipatazo 54 –ya pili kwa wingi
wan chi ni bara la Asia, ambalo lina nchi 49.
|
Africa ndo
nyumbani kwa wanayama wakubwa na wenye kasi duniani na ardhi kubwa yenye
wanayama. cheetah,ambaye ana uwezo wa kukimbia umbali wa kufikiakilomita 120 , ana kasi! Na hakuna mnyama wa
kumfananisha na Tembo wa Africa .
|
Ziwa la samaki liitwalo canyon liko nchini Namibia ni la pili kwa ukubwa duniani. The Blyde River Canyon, liko nchini Afrika
Kusini na ni , the largest green canyon
in the world
|
Ghana ndo nchi yenye uchumi unaokua kwa kasi duniani
na kuikaribia ama nyuma ya jiji la Qatar
nchini Oman.
|
Ziwa Tanganyika
ni ziwa lenye kina kikubwa zaidi duniani kina chake ni kilomita 1.7 na hili ni sawa na ziwa linalopatikana Russia lenye kina cha mita 200 .
|
Pamoja na
kwamba tunashika nafasi ya saba kwa
wingi wa watu, asilimia 25 ya makabila yanapatikana Africa. Na yaliyomengi yanapatikana West Africa. Inakadiriwa
kua na lugha tofauti tofauti zipatazo 3,000
zinazozungumzwa barani Africa
|
Vredefort Dome,inapatikana nchini South Africa, ni crater kubwa na ina kilomita 300 kwenye diameter - |
Binaadamu wa
kwanza ndugu walipatikana hapa Africa. Akiitwa ‘Lucy’, kama miaka milioni 3.2 iliyopita na alipatikana Ethiopia
|
Hizi ni
square Kilometer 68,000, za ziwa Victoria ni la pili kwa ukubwa duniani na ndo chanzo
cha mto Nile.
|
Africa eneo
la south coast ndilo lenye
papa wakubwa wenye kushambulia lakini hata hivyo, Australia na Marekani
wanashuhudia kua na papa wakorofi na mashambulizi ya mara kwa mara , watatu ni
Africa Kusini papa wao
|
Nigeria inatambulika
kwa mgawanyiko na mchanganyiko wake wa
makabila takriban 370 na lugha zipatazo 510.kwa kulinganisha na bara ulaya kwa uchache
lugha 150 na India ina lugha 400.
|
Africa ni bara pekee linalopitiwa mstari wa equator.lakini America ya kusini nayo inapitiwa na mstari huo na kua bara pekee baada yetu. |
| |
hizo ndizo sababu zangu 25 za kulipenda bara langu la AFRICA! Najivunia kua mwafrika
|
No comments:
Post a Comment