Lauryn Hill
Mwanamuziki Wyclef Jean amefunguka
na kuachilia lawama za kufa mtu kwa mzpenzi wake wa zamani ambaye pia alikua
nae kwenye bandi moja, Lauryn Hill yakwamba
alimdanganya juu ya mtoto wa kiume ya kwamba ni wake kumbe sivyo
Kutokana na hilo Wyclef anajiona
ametendwa! Na kugeukwa kusiko weza kusameheka , na lawama hizi za Wyclef Jean zimeibuka na kutonesha madonda na kutupia
kwenye kitabu alichoandika juu ya Lauryn Hill akidai kua ndiye baba wa mtoto wake, kumbe LONGO!
Wyclef Jean
Mwana hip-hop star huyo alikua na mahusiano ya kimapenzi na
nmwimbaji huyo wakati wa uhai wa bendi iliyo vuma sana ya Fugees kikikwemo
kibao cha kill me softly pengine sasa ndo kinapata maana halisi kwao wao
wawili, umaarufu wa bendi hiyo ulivuma sana miaka ya 90 , na wao wawili
wameachana baada ya Wyclif kugundua janja ya Laurynn kumdanganya kua ndiye baba
wa mtoto kumbe sivyo
Na ukweli ni kwamba! Mtoto ni wa
Rohan ambaye ni mtoto wa nguli wa Reggae marehemu Bob Marley .
Rohan
Katika Kitabu chake Wyclif kiitwacho Purpose, ambacho kimechapishwa katika gazeti
la New
York Post, kinasema na hapa nanukuu: 'In that moment
something died between us.
Tulioana na Lauryn na tulikua na mahusiano na akanifanya
niamini mtoto ni wangu na sitasamehe hilo
Wyclef amebainisha kwamba uhusiano wao wawili ndo
chanzo cha kufa kwa bendi yao mnamo mwaka 1997.
|
Tuesday, September 18, 2012
Mwaka wa Taabu na Misukosuko kwa Lauryn Hill
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment